GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote.
RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao tayari umeshamuudhi Mama (Mheshimiwa) na sasa anasubiri ujae tu vizuri katika ' Frame ' yake na akuondoe rasmi.
Kwakuwa Wewe ni mwana Simba SC na mwana Wenge Musica BCBG Mwenzangu na nakupenda basi leo GENTAMYCINE nakuambia kuwa achana upesi na huo ' Mkakati ' unaoupanga wa ' Wamachinga ' bali shirikiana nao vizuri kwani hakuna Watu ambao Mama ( Mheshimiwa ) anawapenda kama hao.
Usichokijua tu ni kwamba Mama (Mheshimiwa) alipoingia ' Wamachinga ' walianza Kutomkubali ( na GENTAMYCINE ) nililianzishia Uzi hapa JamiiForums hivyo Mama nae baada ya Kujiridhisha kuwa hakubaliki na ' Wamachinga ' sasa amebadilika na kuanza Kuwapenda ili Kuwateka Akili na taratibu nao sasa wanaanza Kumkubali Mama.
RC wa Dar Amos Makalla jua ya kwamba Mama (Mheshimiwa) nae baada ya Kuuonja ' Utamu ' wa Ikulu na Yeye sasa anataka Kugombea Urais 2025 hivyo ameshajua kuwa Mitaji yake Mikuu ni Kuteka Akili za Wanawake (Wapiga Kura wazuri), Wamachinga na Vijana hivyo ukitaka tu Mama ' akufyeke ' katika ' Uteuzi ' cheza na ' Interests ' za haya Makundi.
RC wa Dar es Salaam Amos Makalla ungekuwa ni Mtu wa Yanga SC wala nisingehangaika Kukuambia haya na ningeacha tu Uharibikiwe na Mama (Rais) akutumbue ila kwakuwa ni ' Kamarada ' wangu wa Simba SC na Wenge Musica BCBG nimeona nikuambie ili Ujjrekebishe na usije ' ukafyekwa ' bure kama wa Morogoro na wa Mwanza.