GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiingii Akilini yaani Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wanahamishwa kutoka eneo wasilotakiwa na kwenda kupelekwa tena eneo wasilotakiwa.
Hivi nyie NHC pamoja na RC wa Dar (mwana Wenge BCBG na Simba SC Mwenzangu Amos Makala ) na Poti wangu wa Kanda ya Ziwa Mbunge Askofu Josephat Gwajima mnashindwa nini kukaa pamoja na muwatafutie eneo zuri na sahihi hawa Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kituoni Tanganyika Packers Kawe wakakae kuliko hivi mnavyowasumbua na Kuwahamisha Kila Siku?
Mnachokifanya sasa ni Uchafuzi wa Mazingira na mnafanya hilo eneo kuonekana ni la Kienyeji ( Kiswahili ) kutokana kuna mikusanyiko ya Mbao, Masufuria, Vijiko, Mabakuli yenye Maharage ya Jana na yaliyochacha, Maji Machafu, Kuni na Vibiriti hali ambayo linaondoa kabisa uliokuwa muonekano mzuri wa hilo eneo.
Halafu ni nani aliyewaambia kuwa muwapange hadi katika Ukuta wa Kanisa langu Pendwa la Katoliki la Mtakatifu Mikaela (St. Michael) Kawe?
Ina maana Kawe nzima hakuna maeneo makubwa ya Kutosha ya Kuwapanga hawa hadi mlazimishe Kuwabana katika eneo dogo na Kuchafua Mazingira?
Mnaboa kweli japo ninawaheshimu.