SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sifa za kijinga tu anajitafutia. Mimi nitaishangilia Simba nione atanifanya nini.Kinyume chake, sasa tutaishangilia sana Simba kuliko tulivyotaka kufanya. Yeye RC ni nani na anatekeleza kifungu kipi cha sheria kuwakataza wananchi kushangilia? Mambo mengine ni kujivunjia heshima kiholela kabisa.
Washakula mbili na ushangiliaji uko kama kawaidaSifa za kijinga tu anajitafutia. Mimi nitaishangilia Simba nione atanifanya nini.
Leo Mikia wapo ugenini nchini Bukoba wakicheza na Club Athletic Du Kagera Sugar.
Hawezi kufanya hivyo. Wasipoishangilia Simba waishangilie timu gani? Kwani kuna timu nyingine?!!!!!
Khaaa [emoji3]mtu kapitia mafunzo ya kupigwa matofali ya utosini leo anapewa nafasi ya kuongoza raiya
Military mentality. Anafikiria bado yupo barracks, as a senior military officer, na wote anao waona mbele yake ni NCO s.Kinyume chake, sasa tutaishangilia sana Simba kuliko tulivyotaka kufanya. Yeye RC ni nani na anatekeleza kifungu kipi cha sheria kuwakataza wananchi kushangilia? Mambo mengine ni kujivunjia heshima kiholela kabisa.
Kuna uwezekano wa kuanza kutoa vitisho kwa waamuzi.Ninamsapoti sana huyo Mkuu wa Mkoa na hata ikiwezekana ushindi upatikane hata kwa goli la mkono.
Matokeo yakojeHa[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Hakika Mkuu wa Mkoa amevuna alichopanda,kumbuka Simba ni Mabingwa wa Taifa hili wakiwemo na wana kageraMKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Michael Gaguti, amepiga marufuku wananchi wa mkoa wake kuishangilia Simba, pindi itaposhuka uwanjani leo kuvaana na Kagera Sugar.
Gaguti amefikia hatua hiyo akiwa na lengo la kuanzisha kampeni ya kuwahamasisha wananchi kuipenda timu yao na kuisapoti pindi itakapokuwa ikicheza na timu kubwa katika michezo yote ya ligi kuu msimu huu.
Kagera itakuwa katika Uwanja wa Kaitaba, kuvaana na Simba, ikiwa ni Mara ya kwanza timu hizo zinakutana msimu huu.
Akizungumzia hatua hiyo Gaguti alisema: “Umefikia wakati wa watu wa Mkoa wangu wa Kagera kuungana na kuisapoti timu yetu inapocheza na timu yoyote katika Uwanja wa Kaitaba na hatua hiyo inaanza kesho (leo) pindi Kagera Sugar itakapocheza na Simba, mkiwa huko pembeni shangilieni hizo timu zenu, ila hapa wote tunaishangilia Kagera Sugar.”
Kwa upande wa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu amesisitiza wamejipanga kushinda mchezo huo na wala hawana mchecheto wowote.
Asingekuwa mwanajeshi ningemtukana