TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.

Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.

Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.

Apumzike kwa Amani, Amina
 
Marehemu hasemwi vibaya. Apumzike kwa amani, Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…