TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Statement zako zinaonyesha tu kuwa mtu anayekufa Kuna kitu amekosea.Na kwamba kwann anakufa?This is my accurate analysis of your statement regarding the death of the RCO.
Mimi nimetoa taarifa tu , sasa hayo mengine unaleta wewe
 
Polisi wengi waonevu maisha Yao mabaya either wakistaafu au kupata magonjwa ya mtindo wa maisha na yanawatesa hasaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Kwa hiyo in other words unatuambia amekufa sbb akiwakamata viongozi wa Chadema hatoi dhamana?
 
Halafu ndio chadema wanamezea mate kuongoza nchi.

Mimi nilijitoa kushabikia chama, nashabikia mtu na uwezo wake wa kiakili haijalishi chama chake kwa maslahi ya jamii na nchi.

Sasa hawa chadema wananyoshea watu vidole ilihal wao ndio wameoza l, watesaji, walafi wa madaraka na asali,


Wanafurahia kila msiba unapotokea, yan mwenzio kafa unafurahia??

Bora yeye kafa na kuzikwa na ndugu zake, hujui wewe utaondokajw hapa duniani.

Usijifiche kwenye kivuli cha upinzani kuonesha roho mbaya, ukiwa upinzani tu naona ni lazima uwe na roho mbaya kwanza na utu ziro
 
Wapi nilipofurahia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…