RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

RDJ Mamie wa E-FM amejiunga rasmi na Wasafi Media

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
DJ Maarufu wa E-FM na mwenye manjonjo ya aina yake DJ Mamie, jana ametanganza rasmi amejiunga na Wasafi Media kupitia Instagram yake. Baada ya kupost, hiyo post imepata like nyingi na comment nyingi kuliko post zake zote na kuonesha namna gani mashabiki walivyofurahia kuja kwake Wasafi Media lakini pia Wasafi Media imethibitisha kupitia kipindi chao maarufu cha Big Sunday Live.

photo_2020-08-24_07-50-43.jpg




D_413YQXUAA_l2V.jpg
 
Sehem sahihi wakati sahihi wakati wasafi inatarajiwa kuzindua masafa ya fm kwenye mikoa si chini ya 12 mpaka mwisho wa huu mwaka kwahio atakua hajapoteza kitu chochote wakati Efm wakiwa na mikoa 15 na wasafi watakuwa na idadi inayolingana au ikazidi hapo so chaguo sahihi kwake
 
Back
Top Bottom