Re: Access bank

Re: Access bank

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
324
Habari wana JF,

Nimeitwa kny usaili na hawa jamaa wa Access Bank Mwanza niliomba tu kama Bank officer, nimesikia tetesi kwamba hawa jamaa hamna kitu kabisa kwenye ulipaji. Ntashukuru kama ntapata details kwa mtu anaefahamu chochote kuhusu hawa watu. Shukrani
 
Huko hakuna kitu. Mi mwenyewe wameniita kwenye hiyohiyo post, nikafanye interview Ijumaa, nshapata nauli. Bora usiende ili nichukue hiyo kazi.
 
Kwani hauko mwanza mkuu... hizi post si ni kwa raia walio mwanza??? mi ndo nawasikilizia ila nahitaji kujua zaidi kuhusu wao... tujuzane mkuu kama una chochote

Huko hakuna kitu. Mi mwenyewe wameniita kwenye hiyohiyo post, nikafanye interview Ijumaa, nshapata nauli. Bora usiende ili nichukue hiyo kazi.
 
Nenda kwenye kazi kwanza kaka watu hata hyo wameitafuta wakaikosa,now kikubwa ni experience.
 
Inasemekana jamaa wanalipa kidogo sana,

kuna jamaa walimwita kwa post ya Loan officer basic salary 180,000 (jamaa alimaliza UDSM)

Jamaa mpaka leo anafundisha pre f V, na twishen hapa kitaa.

pima chukua hatua
 
Back
Top Bottom