Nimeitwa kny usaili na hawa jamaa wa Access Bank Mwanza niliomba tu kama Bank officer, nimesikia tetesi kwamba hawa jamaa hamna kitu kabisa kwenye ulipaji. Ntashukuru kama ntapata details kwa mtu anaefahamu chochote kuhusu hawa watu. Shukrani
Kwani hauko mwanza mkuu... hizi post si ni kwa raia walio mwanza??? mi ndo nawasikilizia ila nahitaji kujua zaidi kuhusu wao... tujuzane mkuu kama una chochote