Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,616
- 2,125
Mbona Vijana wakifika hapo mnawageuka na kuwaambia wapige kozi miezi mitatu with no any payments are you serious NiggaUpo sahihi mkuu, tunahitaji graduates ambao tutawalipa mshahara mdogo.
We dogo Makoba acha uhuni Mimi I hate that shit kutumia watu with ur own benefitsShule: Prime MIkocheni.
Idadi: Walimu Watatu.
Sifa: Degree ya Elimu mfano (Bachelor of arts with Education).
Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 na 2025.
Awe mkazi wa Dar es Salaam.
Namna ya Kutuma:
Andika jina lako, mwaka wa kuhitimu chuo, jinsia yako, mahali ulipozaliwa, na mahali unapoishi kwa sasa. Kwenda WhatsApp namba: 0653 250 566.
Zaidi: usipige simu, tuma ujumbe whatsapp pekee.
Kwa nini limerudiwa kutangazwa?
Katika tangazo la kwanza, watu wasiofahamika nia yao walisema ni tangazo la utapeli, hivyo alijitokeza mwombaji mmoja pekee katika usaili. Niwasihi watu kuwa, tuache kukatisha waombaji tamaa kwani si kila tangazo ni la kitapeli.
Hili akawe cheap labour kwa sababu Bado wanawenge za chuoKuna mahusiano gani kati ya kufundisha na mwaka wa kumaliza chuo?
NA UKATAPELI WATU KIMA WEWEImenishangaza sana kuona jamii sasa inaona kila kitu ni utapeli. Matapeli wamefanya mkweli hajulikani na muungwana hatambuliki!
Kazi ipo.NA UKATAPELI WATU KIMA WEWE
Kwanini unafanya haya mambo mkuu .Kazi ipo.