Re:Bei ya MALARONE

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Habari watu wa Dar.
Kuna mgeni wangu anakuja kutokea Europe na alitaka kununa Malaria Pills zinazoitwa MALARONE.
je Bei ya dawa hizi kwa Pharmacy za Dar city Center ni kiasi Gani?
Mbarikiwe
 
Hizo dawa sidhani kama zipo Tz. Ni dawa zinazotibu na kukinga malaria na zinaongoza kwa kuwa na profile nzuri ya side effect (almost nil). As such zimekuwa dawa za bei mbaya mno na hata Marekani na Canada haziuziki kwa ajali ya ughali. Dozi ya mwezi moja (kidonge kwa siku) ni $70, Canada miaka 3 iliyopita. Generic drugs ndio zinatumika instead.
 
Shukran Mgonjwa kwa ufafanuzi wako wa maana sana.
Naimani hata huyo anaebeza hapo juu Mr,.Zero amefaidika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…