1. Property management course inadeal na landed property. Yaani majengo. Ukifaulu unaweza kuajiriwa kama Estates Manager A.k.a property manager. Unaweza kuajiriwa kwenye makampuni au mashirika yenye nyumba mfano NHC , PPF, NBC, hata muhimbili hospital.Au unaweza kufungua kampuni yako ukawa unatoa huduma hiyo kwa contract.(Outsourcing concept). hii ina maana kuwa shirika au kampuni inaingia mkataba na wewe umanage majengo yao . To manage property involves several duties few of them are , maintenance, leasing ie. looking for tenants, renting out the properties, collecting rent and solving tenants endless problems etc etc . In short its a too involving job where you interact with varying calibers of people as tenants and varying management teams of various organization you may be working with. Eventually you find yourself dealing with buildings, and lives of people meaning shelter as a necessary human requirement with business in mind (profit)
2.Katika property management kuna mambo ambayo ukiacha majengo utakutana nayo na ili uweze kukabilina nayo unapaswa kujua facilites management . Hii ni mwendelezo wa property management kwa maana ya majengo ukijumlisha soft servises kama vile mazingira, utilities like power and water, procurement of various goods and services, management of human resources in the organizations departmental and property department in particular, managing contracts, eg cleaning contracts etc etc .Ndio maana inaitwa Property and facilities management.
3. Course hii inamjenga mwanafunzi katika nyanja nyingi sana .Economics, laws, valuation, environmental, ITC , etc. Zaidi sana inamjenga mtu kuwa mjasiriamali wa ukweli maana yote utakayofanya ni bussiness orieted kwa maana ya kufanya shirika au kampuni itengeneze faida na iendelee kuwepo.
4. Kama kuna course nzuri hii ni mojawapo .wala usihofu kurecommend kwa yoyote. Ila masomo yake sio marahisi hata kidogo na nafasi za chuo ni chache maana hutolewa na chuo kimoja tuu Tanzania nacho ni Ardhi .Ukitaka maelezo zaidi ni PM au nenda ARU, Lands Department kama uko Dar.