PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 832
- 447
Heshima mbele Wanajamvi!
Sisi ni vijana watatu tumeungana tukafungua na kusajiri kampuni ya Mawasiliano. 2 kati yetu ni wazoefu kabisa kwenye fani hii na wameshafanya kazi na makampuni ya mawasiliano makubwa tu hapa mjini. 1 ni wa Telecommunications an mwingine na Mechanical Engineering. Alobakia ni wa Pulic Administrator anaeshughulikia mambo yote ya utawala ofisini.
Hadi sasa tumeshafanaya kazi kadhaa chini ya kampuni yetu kwakua ina watu walobobea ktk taaluma hii.
Kampuni yetu inakabiliwa na changamoto kubwa ya Mtaji (Capital ). Kuna kampuni kubwa ya mawasiliano ambayo wafanyakazi wetu walikua wakifanaya huko ina kazi nyingi, hivyo tulipeleka Tender proposal na tukakubaliwa kuingia na mkataba wa kupewa kazi ( outsourcing ) zao baadhi kutokana na wao kuzidiwa.
Sharti lao kubwa ni kuwa na mtaji anagalau 15mil. Hicho kiasi kikawa kikwazo kwetu kwa wakati huo.
Tukaenda Benki tulikofungulia account ya kampuni yetu ( stanbik) watukopeshe ikashindikana. tukaenda NMB,CRDB n.k nako mambo ni yale yale.
Benki zote hizi zina masharti yanayofanana kwamba,ili ukopeshwe lazima uwe ushafanya Transactions kwenye ya angalau kiasi cha pesa ukachopa kwa miezi si chini ya 6.
Yaana kuwe na steady cash flow kwenye hiyo akaunti kiasi ambacho pia imekuwa mtihani mwingine kwetu ukilinganisha na kiasi kidogo tulichopitisha kwenye akaunti.
Baada ya hapo tukaendelea kutafuta vyanzo vingine. Tukasikia Wizara ya kazi na ajira inakopesha vijana kiasi kisichozidi 10mil. bila masharti magum. Riba yake ni 10% to be paid withini 2yrs. Tukawafata. Masharti ni kwamba unatakiwa kuandika andiko mradi ( proposal write up) ya kampuni au vikundi na kuipeleka Halmashauri kwa Afisa Ushirika. Yeye anaipeleka nakala mkoani na wizarani. Kama ikikubaliwa mnakopeswa. Kazi hiyo ishafanyika tangu September mwaka huu.
Sasa mwishoni mwa oktoba tukaitwa vikundi vyote tulioomba na kuambiwa tuunde SACCOS kwanza ya wilaya (Kinondoni ) ambako mkopo utapitishiwa. Ukweli ni kwamba mchakato huu ni mrefu na utatuchelewesha mno.
Tumekuja mbele yenu hapa kutafuta Masada wa mambo 3;
1.Tunatafuta mtu/ kampuni atulopeshe 10 mil. kwa riba ili tuanze kazi mapema na tusipoteze fursa tuliyopata.
2. Kampuni yetu ni Limited by SHARES, tupate mtu awekeze kwa kinunua Hizo shares.
3. Ushauri wa kupata Mkopo vikwazo kama nilivoorodhesha hapo juu.
Karibu!