Re categorisation Kwa watumishi waliojiendeleza kielimu

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
366
Reaction score
478
Hello wajumbe wa huu uzi
Kama kichwa kisemavyo, tumezoea kuona kila mwaka serikali inawafanyia recategorisation watumishi hasa waliojiendeleza kielemu. Hili suala kwa mwaka huu 2024 halijazungumziwa kabisa. Je ni kwamba litakuwa halipo kabisa ?
 
Maza kashaanza kutuchoka watumishi, ila wacha maHROs waje watupe majibu
 
Na bila shaka na watumishi watamchoka tu muda si mrefu, amekuwa mswahili mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…