Insabhunsa Gusa
Senior Member
- May 13, 2011
- 109
- 88
Insabhunsa Gusa, Jamani mbona iko clear kabisa. Wanataka certified copy of original. Sasa wewe unataka cheti chako original kichafuliwe? Hata mwanasheria akijifanya anataka a certify cheti chako original ujue ni bogus.
Toa copy ya vyeti original, then nenda kwa mwanasheria ukiwa na vyeti original ili athibitishe kama kweli hizo copy ni za hivyo vyeti original.
Nadhani pia kuna taizo kidogo hapo, .........Mwanasheria ama mahakama wanacertify copy ya cheti bila kujua ni cha kugushi ama original, maana unawapa cheti 'original" na copy yake na ndipo wanapogonga hiyo mihuri ya kuthibitisha kuwa hiyo yenye muhuri ni copy ya original (ambayo inaweza kuwa original kweli ama original ya kuchonga).......... ni vigumu kwa Mahakama ama mwanasheria kujua kujua feature ama water marks za vyeti original...........Kumbe kucertify kuzuri ni kwenda kwa aliyekitoa cheti, kama unacertify cheti cha UDSM ni bora kwenda pale chuoni ili wakikague kama ni cha kweli na kisha ndio waweke muhuri.....................kama unacertfy copy ya passport ni bora kwenda uhamiaji maana hao ndio wajaua hipi ni kweli na ipi sio kweli