Re: Cervical spondylosis ni ugonjwa wa shingo!!!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
Joined
May 13, 2011
Posts
109
Reaction score
88
Jf doctor!!

Naomba msaada wa maelezo juu ya tatizo hili na matibabu yake. Asante sana!!!
 
ni ugonjwa unaotokaka unaotokana na udhahifu katika pingili (joints) za uti wa mgongo upande wa shingo. hivyo kusababisha mishipa ya fahamu(nerves) kubanwa na kusababisha maumivu katika shingo, mgongo, kifua hata miguuu. wakatti mwingine kumfanya mtu kuishiwa nguvu mikononi au miguuni! dalili pia ni wakati mtu akikohoa husikia mauvu. sababu kubwa ni kukaa vibaya mafano unainamisha shingo muda mrefu hasa kwenye computer, wakati wa kusoma, kuendesha kazi nk. au kubeba mizigo mizito kichwani. matibabu yake ni kujitahidi kuweka shingo imara. lakini ukizidiwa pia operation hufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…