Re: Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout'

Re: Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout'

tume huru

Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Naomba msaada wandugu. Natafuta shule NZURI ya private yenye masomo ya science (PCB &CBG) kwa A'level katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Tanga.
 
Umeona utumie neno Chadema ndio post yako itauza au sio
 
Hapana mkuu, mimi mwenyewe nimeshangaa headi imebadilika na nimeshindwa kuibadilisha. Labda mods wanisaidie au wewe unielekeze nibadili heading iwe kama nilivyoiweka mwanzo.
 
Naomba msaada wandugu. Natafuta shule NZURI ya private yenye masomo ya science (PCB &CBG) kwa A'level katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Tanga.
Mkuu Tume Huru, jee hiyo topic ya Chadema pia uliianzishaga wewe?.
 
Mkuu Tume Huru, jee hiyo topic ya Chadema pia uliianzishaga wewe?.

hapana Pasco, sikuianzisha mimi, nimestaajabu kuiona ina appear kwenye thread yangu, na kila nikiedit inarudi hivyo hivyo.
 
Then its strange, then fungua edit, nenda advance, then edit headiline na kumwambia mode aibadilishe headline.

Kama huoni option ya advanced edditing then fungua jf mobile version unaweza kuedit headline ukibonyeza edditing.

Kwa kawaida ukianzisha new topic , siku ukianzisha nyingine, zinakuja zile new top za kwako.
 
Back
Top Bottom