Mkuu Tume Huru, jee hiyo topic ya Chadema pia uliianzishaga wewe?.Naomba msaada wandugu. Natafuta shule NZURI ya private yenye masomo ya science (PCB &CBG) kwa A'level katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Tanga.
Mkuu Tume Huru, jee hiyo topic ya Chadema pia uliianzishaga wewe?.