Re; graduate recruiment- jobs

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Wana JF leo nimepigiwa simu kuhudhuria semina Holiday inn ijumaa. waliwah kutoa kazi zamani sana nikawatumia CV tu. sikumbuki hata wana dili na vitu gani hawa jamaa. tafadhali kama kuna mtu mwingine aliyepigiwa simu kuhudhuria semina anijulishe. na wanahitaji niende na note book tu. kama kuna mtu ambaye anawajua vyema hawa jamaa tafadhali nisije poteza muda ijumaa. sikuhizi kuna matapeli sana. tafadhali.
 
kuuza vyombo,,,, 4ever living tushawajua cku hizi hawako direct kwenye mambo yao,, hata tangazo lao lilikaa kiwizi wizi na kujiogopa ogopa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…