Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasalimu Waungwana,
Dhumini ya bandiko hili ni kuwajulisha ya kuwa nitakuwa nanyi katika forum hii
Natumai ushirikiano wenu wenye tija katika majadiriano ya hapa na pale.
Wenu katika ujenzi wa Taifa,
Demarco
[/QUOTE]Nawasalimu Waungwana,
Dhumini lang ni kuwajulisha ya kuwa nitakuwa nanyi katika forum hii
Natumai ushirikiano wenu wenye tija katika majadiriano ya hapa na pale.
Wenu katika maendeleo ya nchi
Ambumbulwisye
Globu,
Kama swali lako limeelekezwa kwangu na kama nimekuelewa ,Nadhani Ambumbulwisye ameni quote ....
Ok. nimekuelewa, lakini nina wasiwasi.........
Karibu sana JF...wewe na ID yako nyingine
kumbe kuna wapiga ramli humu...........!!?
kumbe kuna wapiga ramli humu...........!!?