Fazul
Member
- Apr 2, 2012
- 82
- 9
Niko na binti tumejuana sikuchache zilizopita juzi nikawa na date naye lakini ivi nimeamua niachane naye bcoz of
1.alikuwa kavaliaa na kujipodoa zaidi ya haja, mdomo kapaka rangi kupita kiasi ungedhani kala nyama mbichi,herini,bangili,vipuli masikioni na puani na wanja zote kwa maramoja
2.asilimia 80% ya mwili wake uko uchi.
3 alipokea simu zaidi ya mara 20 zote kwa wanaume na haikuwa habari za biashara.
4 maongezi yake yote yanaelekea mkondo wa ngono.
5 alikuwa anaongea sana hata hanipi mda wa kuongea.mtu kama huyu atanifaa kweli kwa mahusiano serious?
na wewe je kitu gani kinaweza kufanya uachane na mwanamke au mwanaume baada ya date ya kwanza?