Re: Huu ni uchuro

Fazul

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
82
Reaction score
9
Niko na binti tumejuana sikuchache zilizopita juzi nikawa na date naye lakini ivi nimeamua niachane naye bcoz of

1.alikuwa kavaliaa na kujipodoa zaidi ya haja, mdomo kapaka rangi kupita kiasi ungedhani kala nyama mbichi,herini,bangili,vipuli masikioni na puani na wanja zote kwa maramoja
2.asilimia 80% ya mwili wake uko uchi.
3 alipokea simu zaidi ya mara 20 zote kwa wanaume na haikuwa habari za biashara.
4 maongezi yake yote yanaelekea mkondo wa ngono.
5 alikuwa anaongea sana hata hanipi mda wa kuongea.mtu kama huyu atanifaa kweli kwa mahusiano serious?

na wewe je kitu gani kinaweza kufanya uachane na mwanamke au mwanaume baada ya date ya kwanza?
 
Mkuu kwani hukuelewa nini?
Wewe ulimpata wapi?
Kwani ulimpomwana mara ya kwanza hukupata fununu ni mtu wa namna gani?
Biashara matangazo, mwenzako alikuja kibishara zaidi!
Pole mkuu, ungebandua na kuachana naye....
Mradi ulipe bill
Pole, ndio maisha hayo
 

Ulimuokota wapi?
OTIS
 

nime poa,nimeamua kupata mawazo tu hata leo simu zake nimezipuuza sioni penye tutapelekana
 
looks like bonge la kahaba or pay as you bonk...
 
Ulimuokota wapi?
OTIS

nilikutana naye mara ya1 kwa soko na alikuwa kavalia poa tu na alikaa innocent sana sijui kwa date aliamua kuwa ivyo ili anipagawishe.
 
na wewe je kitu gani kinaweza kufanya uachane na mwanamke au mwanaume baada ya date ya kwanza?
Siwezi kuachana na mwanamke baada ya date ya kwanza sababu takuwa sijampata kabla au baada ya date ya kwanza.., ni vema kuwapa watu benefit of doubt, na mistake moja au first impression isipelekee confirmation ya kitu fulani au kufuta mazuri yote uliyodhani mwanzo

Labda alikupenda zaidi uoga ndio akadhani ataku-convice kwa kujifanya someone else.. (all I can say is nusu saa au masaa machache ni vigumu kumfahamu mtu) it takes time
 
Ngoja niangalie gem ya man city kwanza!
 
mabinti kama hawa ni wajanja sana; huwa wanafanya ka-research kidogo kujua wateja wanataka nini, halafu wanajilipua accordingly..
 
Mimi naweza kumwacha demu instantly iwapo siku ya kwanza tu kukutana anaanza kunitajia matatizo yake na kuniomba hela. Nikitoka hapo asahau! Maana huyo najua kabisa hana zuri na mimi bali kunichuna. Lakini huyo wa hivyo hana tatizo, kwa kuwa inawezekana kumbadilisha. Na si ajabu alikuja kwa namna hiyo kwakuwa alidhani wewe ungependezwa na hiyo appearance yake. Au kuna wanaume walionyesha kupendezwa na mtoko huo, akadhani na wewe ungependa. So mpe muda mkuu.
 
na kupokea zaidi ya simu 20 za wanaume ni kutaka kumzuga jamaa kwamba yuko hot kiasi cha kushobokewa na wanaume kibao...
 

itakuwa frm fb
 
ulipomuona mara ya kwanza, ukaamua kumtongoza:-
alikuwa kavaaje?
Midomo rangi alipaka hakupaka?
Hakuwa busy na simu?
 
ulipomuona mara ya kwanza, ukaamua kumtongoza:-
alikuwa kavaaje?
Midomo rangi alipaka hakupaka?
Hakuwa busy na simu?

alikuwa poa tu kavalia sketi ndefu kwa ufupi alikuwa very natural.and simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…