Re: Huu ni uchuro

am a woman and i can sense kuwa huyo mdada hajielewi na amekusoma wewe vibaya dont dump her, ilibidi umwambie ki uwazi siku hiyohiyo hata kama angeumia ila na yeye labda angefunguka kwako
 
yenyewe hapo kuna point.
 
kwahiyo wewe hujawahi kukutana na magumegume au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…