JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Nimepewa barua na muajir wangu ikiwa na heading hiyo hapo juu.na salary imesitishwa.je kisheria c nimeisha fukuzwa kaz,natakiwa kuripot head offc,nicpo ripot kuna madhara yoyote ya kisheria nitapata?