JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
What??? Use layman's terms....are you a lawyer or something?It basically denotes any prohibitory act or decree of a court or an administrative officer. The term may however possess multiple related meanings determined by the immediate world (context) in which it is used.
Pole.... Hapo maana una tuhuma inachunguzwa kwa hiyo umekuwa relieved kwenye majukumu yako mpaka hapo Mwajiri atakapokamilisha uchunguzi na kukufungulia mashtaka. Kesho ni PM nitakupa ushauri zaidi wa kisheria... ila ukikaidi kwenda kuripoti kwa Mkuu wako utaongezewa mashtaka... ni kosaNimepewa barua na muajir wangu ikiwa na heading hiyo hapo juu.na salary imesitishwa.je kisheria c nimeisha fukuzwa kaz,natakiwa kuripot head offc,nicpo ripot kuna madhara yoyote ya kisheria nitapata?