Karibu jamvini.Me ndo kwanza nimejiunga sijaijua vizuri hi jamii tupeane kampani basi
Karibu sana naona umeanza vizuri hii inaonesha wewe ni mwenyeji.Nilianza nanyi miaka mingi kisha nikapotea kidogo hivyo naamini mimi si mgeni sana katika chombo chetu hiki ... Hata hivyo nataka kujua pa kuanzia!
Me ndo kwanza nimejiunga sijaijua vizuri hi jamii tupeane kampani basi
Nilianza nanyi miaka mingi kisha nikapotea kidogo hivyo naamini mimi si mgeni sana katika chombo chetu hiki ... Hata hivyo nataka kujua pa kuanzia!