Elections 2010 Re: Jamani Hawa Ghasia huko jimboni kachomoka au ndio kaelekezwa kibla?

Elections 2010 Re: Jamani Hawa Ghasia huko jimboni kachomoka au ndio kaelekezwa kibla?

Anold

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Posts
1,456
Reaction score
615
kwanza kabisa nawapongeza sana wana CCM kwa ukomavu wa kisiasa kwa kuweza safari hii kuchagua mchele na pumba kuwekwa kando. Nimesikia matokeo mbalimbali yanatia moyo, nafikiri safari hii Wapinzani wakijipanga mchuano waweza kuwa waukweli. sasa Naomba mnijulishe matokeo ya Mh. Ghasia kama upepo umeelekea wapi.
 
Ghasia amepite kura za maoni, tena kwa kura nyingi sana
 
Back
Top Bottom