Re: Kazi nje nje

Bayo

Senior Member
Joined
Jul 2, 2009
Posts
195
Reaction score
34
Wewe ambaye unatafuta kazi kwa mudda mrefu sasa jibu lako limepatikana, vyeti unavyo na sifa zote unazo ila unaandamwa na roho ya kukataliwa. jibu lako ni yesu... NJOOO UFANYIWE MAOMBI NDUGU YANGU EENH... Bonge la kibwagizo aisee... kaka Bonny alicheza kama pele kwenye huu wimbo.
 
Vunja maagano yote ya nyuma yanayokufuatilia
 
Yesu ni muweza wa yote! Hakuna jina jingine chn ya Jua,zaidi yake! Wapendwa namshukuru roho wa Mungu kuwapa hili.
 
kumbe ni wimbo mi nilijua kazi kweli duu we kweli kanjanja..
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
<br />
 
we ni Boya sio Bayo samahan lakn ninahasira bwana nimejua kweli kazi BWANA YESU ASIFIWE!
 
Ngoja nikatambike mizimu ya kwetu! Hizi dini za kuletewa hazinipi amani ya moyo, nahisi kupigwa hela tu! Teh teh teh....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…