Babamu
Member
- Dec 15, 2011
- 10
- 1
Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo nimewahi kupitia katika vitabu vya kidini (auislamu) ni kuwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W). amekataza kufanya mapenzi ndani ya chumba hata kama yumo mnyama alimtaja kuwa ni paka basi usifanye mapenzi mbele yake. FUNDISHO : tujue kuwa paka ni mnyama na hatoweza kusema ila tuone umuhimu wake suala hilo.
Amani juu yako, Kuna siku si
Amani juu yako, Kuna siku si
