RE: kufanya mapenzi mbele ya macho ya mtoto.

Babamu

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Kuna siku nilisoma ujumbe wa mwana JF na katika maelezo yake aligusia suala zima la kukaa uchi ama kubadilisha nguo akiwa uchi mbele ya macho ya mtoto. Kwa ushauri wangu ni kuwa suala hilo nimewahi kupitia katika vitabu vya kidini (auislamu) ni kuwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W). amekataza kufanya mapenzi ndani ya chumba hata kama yumo mnyama alimtaja kuwa ni paka basi usifanye mapenzi mbele yake. FUNDISHO : tujue kuwa paka ni mnyama na hatoweza kusema ila tuone umuhimu wake suala hilo.
Amani juu yako, Kuna siku si
 
Ukitaka kujua kuwa kufanya hivyo ni haikubaliki, basi soma saikolojia yako mwenyewe wakati unafanya tendo mbele ya mtoto (hata akiwa mchanga wa siku 10)...Utagundua wazi kuwa stimu inapotea kiaina...
Paka ni mwerevu kuliko sisi!...Hafanyi mapenzi mbele ya macho ya mnyama yeyote zaidi ya mkewe!....huh!
 
si kadai kusiwe na kiumbe yeyote jamani?

Huyu sidhani kama ana muda na kitakachokuwa kinaendelea,,akishajifaidia tu anatambaa zake,, na raha zaidi mkiwa kwenye game hamuwezi hata kumsikia!!
 

Mkuu ! Umenitatiza Paka ana mke ? Au umejielekeza Paka we mwenyewe kwa maana ya jina lako ? Samahani lakini, not big issue ni ufafanuzi tu!
 
Imetosha na tumejifunza sio vyema kufanya hivyo mbele ya mnyama tujadili maruala mengine yenye maendeleo zaidi
 

kweli wewe paka jimy. Ushawahi kuona couples za paka? Wale wanalambana wao kwa wao, njiwa tu ndo yko makini katika suala hilo ingawa anafanya mbele ya public
 
Kufanya hivi kukosa adabu na kuwapa laana watoto wetu wenyewe tunaowazaa! Mwisho wanakuwa machangudoa au vibaka kwa laana tunazozitoa kwa kufanya mambo ya aibu mbele yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…