Hakunaga EQUIPMENTS......ni EQUIPMENT whether one or many
nipe list ya vifaa vyote na brand gani nitakupatia detail na bei
Bagamoyo 1,
Vifaa ninavyohitaji nimeviandika kwenye post yangu juu kabisa.... Hata hivyo ni hivi hapa:
1.Roller double drum ( one ton) any brand from Japan
Gonga hapa Import From Japan - Cars, Parts, Half Cuts, Front Cuts, Trucks, Forklifts, Machinery, Tractors, Motorhomes, Buses, Motorbikes, Boats, Jetskis ... . Mimi nilinunua trekta kutoka kwao na ipo TZ.
2. Asaphalt cutter- Light duty
3. Bitumen Sprayer machine.