buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
Ninahitaji kupata uzoefu wa utafiti ili nami nianze tafiti zangu mwenyewe kama mpo wazoefu nijulisheni nije kupata uzoefu nipo tayari kufanya kazi nanyi kwa kujitolea(volunteering).
Please naomba kujua ulipo/mlipo na kama una/mnapokea volunteers wa research
Please naomba kujua ulipo/mlipo na kama una/mnapokea volunteers wa research