Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Lowassa anamjua au unamsikia tu, acha wewe akiamua hata JK atajiuzulu kesho, na kwa taarifa yako ndie Mkuu wa Nchi kidizaini, si unajua tena mambo ya (mafia) kidini? hakuna wa kumzuia asiwe Rais... acha kelele za bure.
Nyamafu wewe! Mwache rais wetu mtarajiwa afanye programme zake.
Ni lowasa tu ndio chaguo letu 2015.mwenye wivu nae basi akapige mbizi baharini.
Mwombe pia akuweke kwenye Pay Roll yake!
Jamani hivi Lowassa kawafanya nini tena, haya mambo kwamba amepania urais mnayatoa wapi acheni kuzungumza habari za magazetini ambayo lengo lao ni kufanya biashara, mtu hajazungumza lolote watu mmeanza kumfuata kwa maneno, kwamba amekuadd kwenye facebook lina uhusiano gani na mambo ya urais, hajakuomba kura na hata wakati ukifika hakuna mtu anayelazimishwa kumpigia mtu asiyemtaka kura.
Mheshimiwa Lowassa amekaa kimya toka alipojiuzulu uwaziri mkuu, ila mmeibuka wasemaji wake wengi sana.Vuteni subira wakati wa kuzungumza utafika.
Hakuna kiongozi msafi kama Lowassa, mchafu asingejiuzulu... we andaa tu sumu ya panya unywe, Lowassa ndie chaguo na mkombozi atakaeivusha kikwelikweli Tanzania... punguzeni ushamba na chuki ambazo azina mpango.labda ni rais wa mafisadi
Programme za kuzunguka makanisani?
Chaguo la matumbo baadhi.
OTIS
Njaa zitatuuwa co??? Mi wala simtumikii.. Ila this guy is taking over bwana!!!!!
Hakuna kiongozi msafi kama Lowassa, mchafu asingejiuzulu... we andaa tu sumu ya panya unywe, Lowassa ndie chaguo na mkombozi atakaeivusha kikwelikweli Tanzania... punguzeni ushamba na chuki ambazo azina mpango.
Ni lowasa tu ndio chaguo letu 2015.mwenye wivu nae basi akapige mbizi baharini.