Re;mafuta ya ubuyu

Re;mafuta ya ubuyu

mpungara

Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
75
Reaction score
17
ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
 
yanatibu uvimbe tumboni kwa kina mama.
 
Back
Top Bottom