mpungara Member Joined Nov 16, 2011 Posts 75 Reaction score 17 Mar 25, 2013 #1 ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
ndugu zangu wana JF nimepita kona frani nikakuta jamaa wanajadiliana juu ya mafuta ya ubuyu kuwa yanatibu magonjwa mengi.sasa kwa wale wanaofahamu zaidi juu ya hili, naomba kujuzwa zaidi.
King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Mar 25, 2013 #2 yanatibu uvimbe tumboni kwa kina mama.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Mar 26, 2013 #3 nguv za kiume