Re:MATANGAZO KATIKA JF -UJUMBE KWA MODS

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Niliwahi kuuliza na hata baadhi ya uzi juu ya hili suala.
Ningeomba Mods waweke wazi bei ya matangazo kwenye hii Forum.
Humu wapo wajasiriamali wa aina mbali mbali na wengi wachanga,sasa ingetengezwa Page maalum ya kulipia hata matangazo ili wadau tupate kujuana.Na Pia inegingiza Pesa nyingi Pia kwa wamiliki.
Mnaweza kuweka validty ya hata wiki ili page isiwe overloaded au kwa vyovyote mnavyoona
Ni Mtizamo wangu tu,
 
Wewe lipia kama unataka,
Saa zingine tunaweka vitu na haviuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…