Da vincci
Member
- Aug 9, 2009
- 61
- 9
Wanajamii naomba kuuliza kwa mtu yeyote mwenye maarifa na kujua hatua za kuhama chuo..Mfano sasa hivi TCU wamekuchagua lets say Ardhi university then wewe ktk prefarance zako ulikua unataka UDOM....qualifications za kwenda huko unazo..je kuna hatua gani unapitia?niko desparate kujua naona mda unayoyoma..