Da vincci!! Pole sana kwa usumbufu ulioupata. Lakini kwa bahati mbaya, uendeshaji wa vyuo vikuu upo tofauti, kila chuo kikuu ni taasisi inayojiendesha independently. Kinachowezekana ni kubadilisha kozi ndani ya chuo kimoja na sio kuhama kutoka chuo kimoja kwenda chuo kingine.
Hivyo basi, inawezekana unazosifa za kusoma chuo ulichokuwa unakitaka ila katika kufanya choices ulikosea ukachagua kozi yenye competition. So cha kufanya ni kwenda kwenye chuo ulichochaguliwa, kama wanakozi unayoipenda kajarbu kubadilisha. kama hawana soma hiyohiyo uliyopata kwani ni lazima uliichagua hata kama chaguo la tatu.