Kuna jamaa zangu wapo Alliance1 mishahara yao ina range 1.5M, kwa kifupi kwenye hz kampuni walipwa vizuri watu ambao wapo utawala (na kuzipata sio rahisi hata kidogo) ila hawa wa kawaida wanalipwa mishahara ya kipuuzi sana..(zenyewe hata ukienda leo kuomba kesho unaanza kazi)
Halafu tatizo lako hautafuti kazi ila unatafuta mshahara. Kwa nini usimwambie BABA yako afungue kampuni akulipe ml 15 kwa siku, kwani haiwezekani? kuliko kuhangaika kutaka kujua makampuni ya tumbaku, eti. TLTC, AOTLC, PATL na lipi linalipa juu kuzidi jingine.