Re:MODEM INAHITAJIKA-ZANTEL OLD CDM BOX

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Habari wakuu,
Nipo kizamani kidogo,
nilikuwa nahitaji modem ya zantel ile ya zamani ambayo ipo kama sim ya mezani(almaarufu TTCL)
Mwenyenayo anicheck kwenye
 
PS 2 au 3

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
PS ndio nini,unaulizwa kingine unaleta play styation.
Weka Bei kama unayo hiyo Modem,sio kuuliza unatoa sh ngapi.
Zipo ila naangalia bei nzuri,
 
Uelwa wako mdogo kweli,
Mie nanunua sio kwamba nauza.Ningekuwa nauza Modem ningeweka bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…