mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
wanajamii nawasalim wote kwa ujumla nikiwa naimani tumejaliwa kuiona siku hii nyingine tena, jamani mie nakabiliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara baada ya kunyoa ndevu na hata studio pia nikinyoa natokwa na vipele, yaani mpaka inafikia wakati naamua kuwa kama Osama lakini mpenzi wangu hapendi niwe na mandevu namna ile naombeni ushauri wenu jamani maana naimani humu ndani wako wetu wenye ujuzi ambao wako tayari kushare na wengine katika mambo yanayotukabili kila siku. Nawasilisha
Usinyoe kwa kutumia nyembe, tumia mkasi kuzipinguza. Au ukitumia mashine ya kunyolea basi uweke kitana namba moja. Vinginevyo uwe unatumia shaving cream, zinapatikana katika duka la dawa za bainadam
Je uliwahi kutumia machines za Gillete 3 au Turbo na shaving ya Gillete GEL(SIO FOAM),kama tayari uliishatumia nieleze nikuangalizia njia nyingine.
NB:Usifanye mchezo za hiyo kitu huwa inaleta cancer na ni hatari.
mkubwa hizi mashine ulizozisema hapa ndio nitumiazo pamoja na GEL ila matokeo ndio hayo ya kutokwa na vipele mkuu wangu
Pole m....192,
In that case you have a serious problem na skin yako,when you have time niandikie history(ilianza lini,your age,kama una any skin problem etc)na uko wapi nitai fwd kwa watu fulani.
Cheers.