Re: My husband

ina maana....simu ikita.....kwenye screen jina linatokea...Low Battery.....utajibeba...
Kumbe mko wengi wa "My husband " eeh?
Nilidhani unasema ile siri yangu kuwa Battery ya mchuma wangu haichaji!...nisingekuazima wala usingeiona au kuigusa teeeeena!
 
ha ha ha haaaaa wadada wa siku hizi wako very strategic... na alikukupa simu makusudi ili ushuhudie anakupenda kiasi gani!! hongera
 
Nyamayao my dearest of the dearest....nilikumiso pia ila nikasema ngoja nikuache uzisake kwanza maana ndo muda. Niliamini u hai bana.

Yaani haya mapenzi ya dhati naona yana definition mpya. Na huyo dada naye bumunda tu

Hahahahahah.....you made my day...lol..🙂
 
Reactions: bht
<br /> <br / WALEWALE! YN NYIE WANAUME MNATABIA MBAYA SN
 
Umenasa kwenye mtego mdogo sana,mpaka sasa alisha ruin mind yako
 
kwani ww umem-save aje? ungemuachia simu na ww aone ulivyom-save 'kimeo'.
wakati mwingine tunalaumu wanaume kwa kuwaonea! hicho kimeo kimeshaambiwa kuna mpnz anaependwa kwa dhati, sasa yeye amebakia kujiita wife! maigizo@itv.com!
 
njia ni mbali mbali....ndio maana huwa inawachukua muda kung'amua.....
Naomba siku moja unifundishe hizo njia ili isinichukue muda kung'amua...lol!!
 

kuna ukweli usio jificha hapo kiongozi wangu,..ngoja ntamuibukia ck bila taarifa ndio ntajua ukweli wa nn alimaanisha
 
Tayari ameshakamatika!!
Jina kuseviwa tu my husband kashachanganyikiwa!!

nimechanganyikiwa kivp?...mm si wa hivyo wewe,...mm nauliza ina maanisha nn......soma elewa kabla ya kurusha mawe kijana
 
Igwe kesho utakuta amekusave ****............toka huko mapema kabla vurugu haijaanza

eti eee!...lakn sitoki mpaka nione mwisho wake utakuwaje?......maake preta kasema ni limbwata
 
ha ha ha haaaaa wadada wa siku hizi wako very strategic... na alikukupa simu makusudi ili ushuhudie anakupenda kiasi gani!! hongera

mmmmmmmh!
 
eti eee!...lakn sitoki mpaka nione mwisho wake utakuwaje?......maake preta kasema ni limbwata

eheee......there you are.....kadri unavyotaka kuona mwisho....ndivyo unavyozidi kutokomea ndani ya penzi la kucheat.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…