A very clever girl
Kila msichana anacheza karaa zake akitaka kuwa na uhusiano wa kudumu na mkaka fulaniGaga, bora weye umeliona hili.....
wadada wengine wanamponda kweli huyo ''clever girl ''kwa kujibinafsisha.....
Isitoshe, sioni cha kushangaza sana kwa kile alichokifanya....................
kwani wadada wengi wapo hivo kwa sana tu.........
kwanini tusianze kulaumu kwa yeye kumvulia chupi mume wa mtu...................
Na tunalaumu yeye kumsave jamaa ''husband''?
Kuna wadada wengine unakuta amekusave kabisa eti.............''Baba Collin'' ..........lol.......
sembuse huyu kukusave my husband?

mmmmmmmmh!...nimemsevu _igwe's girl friend....hapo je!

simple...alikupa simu ili uone jinsi alivyokusave...amka.[/QUOTE]

kuna ka ukweli hapo mkuu,.....ila mm sipatwi ki hivyo

igwe acha zako akupate mara ngap?umesharkoroga linywe.utatangaza had ndoa,shaur yake,kuna madem hawataniw
Kila msichana anacheza karaa zake akitaka kuwa na uhusiano wa kudumu na mkaka fulani
huyu jamaa anagirl friend tu wake na sio mke hivo chance zipo, by the way nilipoanzana na mume wangu
alikuwa na girl ambae tayari kampeleka hadi kijijini kwao, kwa hiyo inategemea na karata zako unavocheza
na jamaa mwenyewe kama kafika kama huyu IGWE

Keren yaani saa nyingine watu tunakuwa kama vile akili tumeshikiwa na mtu. Sasa kweli hapo kilichomfanya asevu hilo jina hivo ni nini huku kaambiwa wazi? Si upoyoyo huo?
Mie mtu mzima naelewa sana haya mambo yanavokuwa, hivo tu kuleta hapa ni kwamba you care for herunajuaje kama nimefika,.....mm nilitamani....lakn i can smell kaukweli........gaga endelea na story yako na ua hubby
bht...mimi nafikiri mdada hana kosa, yeye ndo kaona kapata hivyo...nafikiri ana mikakati ya kuhakikisha huyo anapendwa kwa "dhati" anapigwa kibuti, ili ndoto yake itimie!
Mie mtu mzima naelewa sana haya mambo yanavokuwa, hivo tu kuleta hapa ni kwamba you care for her
sababu ingekuwa tu cheat ya kawaida wala usingeona big deal, infact umependa alivokuita husband na umeweka big deal of it
My hubby ilikuwa rahisi sana kumteka, sababu ya u innocence niliyokuwa nayo,msichana mdogo, sijaguswa na mwanaume, kind of a girl next door
ila nilijua what is going on kwenye dunia hii, aliponambia nimpe mda kidogo amwambie nikamwambia mie asinifate mpaka amalizane nae,aaaah igwe ni story ndefu bwana nishaileta mara nyingi sana just nenda kwenye posts zangu
upo rytKwanza hiyo tu kukaa nayo kichwani mpaka leo kuja kuanzisha thread tayari msichana ni winner
hiyo ni step one
sawa sawamjini hapa...ungejuaje kama umeseviwa ivobila ya yeye kukupa simu...ndo wanavooanzaga ivo...many more to come stay tunned.
sina mikakati yoyote ya kuvuka hii line ya usaliti(kucheat),....anyway time will tell