Re: My husband

Watu wageni kwenye hii fani utawajua tu! .............Yaani hilo nalo ni la kuanzishia topic?
 
Mambo gani haya?Acha utani,unampenda mpenzi wako??????
 
Mimi napenda mabinti wa kanda ya kaskazini wako na plan zilizoshiba nakueleweka kuwakamata wakina mwaipopo kama nyie.
 
ahahaha hizo tricky za mjini wewe usichachawe, siku ukimshtukiza ukaangalia unawezakuta kakusevu 'kimeo'!
 
Watu wageni kwenye hii fani utawajua tu! .............Yaani hilo nalo ni la kuanzishia topic?

haujambo masaki..................haya mambo ni common sana huko kwenu masaki
 
Mimi napenda mabinti wa kanda ya kaskazini wako na plan zilizoshiba nakueleweka kuwakamata wakina mwaipopo kama nyie.

na hasa kwa kina iwe!
 
ahahaha hizo tricky za mjini wewe usichachawe, siku ukimshtukiza ukaangalia unawezakuta kakusevu 'kimeo'!

mwenyewe sijafika mjini jana,....nipo tangu kitambo_enzi zile za am
 
mkuu hapo ushaingia mtegoni. utang'ang'aniwa mpaka moto uwake. hakuachii hivi hivi afaidi mwingine. lazima atahakikisha huyo mpenzi wako anajua uwepo wake na ikiwezekana ampige chini yeye achukue jumla....kama ulikuwa unazuga, jichomoe haraka sana
 
ushauri umezingatiwa mkuu,.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…