RE: NANI ALIKUWEPO TAMBAZA HIGH SCHOOL ENZI YA "J.J. Kaaya"....!!!????

Bia batta

Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
66
Reaction score
34
Nani alikuwepo pale TAM ZEE enzi ya huyo mzee kipindi ndio head master..!!?? kuna mikasa tulikutana nayo ikiwemo mimi mwenyewe kukimbizwa toka ofisini kwake mpaka navuka barabara ya umoja wa mataifa pale upanga kwa kosa la kibwege kabisa kipindi niko form five, tena jamaa wa form six walikuwa wanafanya Mock exam, ilibidi wa-lose concetration ya mtihani kwa muda na kuanza kuangalia nini kinajiri nje...!!!
 
Taja miaka dogo!.,wengine hata mkuu wa shule walikuwa hawamjui!..shule ilikuwa kituo cha kufanyia mitihani tu!
 
Nani alikuwepo pale TAM ZEE enzi ya huyo mzee kipindi ndio head master..!!?? kuna mikasa tulikutana nayo ikiwemo mimi mwenyewe kukimbizwa toka ofisini kwake mpaka navuka barabara ya umoja wa mataifa pale upanga kwa kosa la kibwege kabisa kipindi niko form five, tena jamaa wa form six walikuwa wanafanya Mock exam, ilibidi wa-lose concetration ya mtihani kwa muda na kuanza kuangalia nini kinajiri nje...!!!
Mkuu nakumbuka hii kitu lakini hatukujua undani wake embu tukumbushe kidogo Bia batta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaaya nilipofika tu tambaza nikapewa story zake😂😂😂,,hivi alikua na frustrations??
 
Back
Top Bottom