Mkuu nakumbuka hii kitu lakini hatukujua undani wake embu tukumbushe kidogo Bia battaNani alikuwepo pale TAM ZEE enzi ya huyo mzee kipindi ndio head master..!!?? kuna mikasa tulikutana nayo ikiwemo mimi mwenyewe kukimbizwa toka ofisini kwake mpaka navuka barabara ya umoja wa mataifa pale upanga kwa kosa la kibwege kabisa kipindi niko form five, tena jamaa wa form six walikuwa wanafanya Mock exam, ilibidi wa-lose concetration ya mtihani kwa muda na kuanza kuangalia nini kinajiri nje...!!!
Mkuda bwanaTaja miaka dogo!.,wengine hata mkuu wa shule walikuwa hawamjui!..shule ilikuwa kituo cha kufanyia mitihani tu!
Samahani mkuda nimepita mitaa yenu hii wasomi!
[emoji4][emoji4][emoji4]hahahaa haya mkudaaSamahani mkuda nimepita mitaa yenu hii wasomi!
Nakuacha na Queen hapo juu![emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app