Re: Nani anaifahamu - GEMMY TRADING LLC

Re: Nani anaifahamu - GEMMY TRADING LLC

newazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
904
Reaction score
907
Wadau, kuna mtu anaifahamu hii kampuni GEMMY TRADING LLC. Sijawahi kufanya kazi nao

ninataka kununua gari toka kwao, halafu ile pay trade inafanyaje kazi, supplier anasema nikitumia paytrade ana nicharge usd 350 more, je hiyo ni kawaida.

Naona muongozo...
 
Back
Top Bottom