hawa wana muziki ni pasua kichwa kweli kama Lady Gaga kwenye video yake moja hivi aliigiza mambo ya Yesu, Mungu pekee ndo anayejua Hukumu ya hawa watu na wanatuchokoza wakristu coz wanatujua tulivyo, kama anaweza akavae kama Al-shabab aone kitakachomtokea.