Re: Nina tin ya udereva, je naweza anzishia biashara nyingine kama kufungua kampuni??

Hapana ndugu,unahitaji kubadilisha hiyo tin,ina muhuri umeandikwa "only for non business use",utapewa tin nyingine isiyo na muhuri huo kwa ajili ya biashara.
 
Kwa msaada wa kufungua kampuni wasiliana na wanasheria info@vigilanceattorneys.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…