RE: Prof. Shivji kutoa public lecture UDOM leo

RE: Prof. Shivji kutoa public lecture UDOM leo

nsami

Senior Member
Joined
Jun 11, 2010
Posts
175
Reaction score
8
Wana Jf

Kwanza niwapeni pole wadau wote na wanaharakati kwa yote yaliyotokea huko Ar.

Kwa habari za kuaminika nilizopata jioni hii ni kuwa Prof Shivji atatoa mhadhara juu ya Tafakuri juu ya mchakato wa utungaji wa katiba mpya nchini Tanzania. leo Alhamisi kuanzia saa 3 usiku.

Mhadhara huo umeandaliwa na serikali ya wanafunzi college of education (UDOCE).


QED
 
Back
Top Bottom