Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio nyimbo iliimbwa kweli na museveni,na aliimba kwa lugha ya kwao kinyankole,na kwenye kampen alikuwa analazimishwa na watu kabla ya kutoa otuba aimbe kwanza,pia alisema anatoa albam nzima hivi karibun na ameishatengeneza nyimbo zote ila bado ajaanza kutoa nyimbo nyingine kwa maelezo ya museven mwenyewe